Nenda kwa yaliyomo

Eutiki wa Marmara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eutiki wa Marmara (alifariki Marmara Ereğli, leo nchini Uturuki, karne ya 3) alikuwa askofu aliyefia dini katika dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.