Laurenti Giustiniani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Laurenti Giustiniani huko Venezia.

Laurenti Giustiniani, C.R.S.A. (Venezia, leo nchini Italia, 1 Julai 1381 – Venezia, 8 Januari 1456), alikuwa kwanza mkanoni[1], halafu askofu wa Venezia, wa kwanza mwenye cheo cha Patriarki.

Maandishi yake, yakiwemo ya hotuba, barua na maisha ya kiroho, yamechapwa upya mara nyingi.

Papa Klementi VII alimtangaza mwenye heri mwaka 1524 na Papa Alexander VIII mtakatifu tarehe 16 Oktoba 1690.

Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake[2][3]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saints of the Canons Regular". Confederation of Canons Regular of St. Augustine. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 19 January 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Calendarium Romanum, Libreria Editrice Vaticana (1969), p. 137
  3. Martyrologium Romanum, Libreria Editrice Vaticana (2001), ISBN 88-209-7210-7

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.