Fransiska wa Sales Aviat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha yake ya mwaka 1895 hivi.

Fransiska wa Sales Aviat (jina la kuzaliwa: Léonie Aviat; Sézanne, Marne, Ufaransa, 16 Septemba 1844Perugia, Italia, 10 Januari 1914) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki ambaye pamoja na Louis Brisson alianzisha shirika la Masista Waoblati wa Mt. Fransisko wa Sales.

Aliongoza shirika kwa awamu mbili, huku katikati likiwa chini ya wakuu wawili waliompinga [1]

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Septemba 1992 halafu mtakatifu tarehe 25 Novemba 2001.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Léonie Aviat ujanani.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • d'Esmonge, OSFS, Sr. Marie-Aimée (1993). Leonie Aviat, Mother Frances de Sales: The Foundress of the Oblates of St. Francis de Sales. Norden: Franz Sales Verlag. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.