Filipo Evans

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Filipo alivyochorwa.

Filipo Evans, S.J. (1645 - 22 Julai 1679) alikuwa padri Mjesuiti kutoka Wales aliyeuawa na serikali ya Uingereza iliyokuwa imekataza Ukatoliki nchini[1].

Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri mwaka 1929 halafu Papa Paulo VI akamtangaza mtakatifu tarehe 25 Oktoba 1970.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.