Bernadi wa Parma

Bernadi wa Parma (Firenze, Italia, 1060 hivi – Parma, Italia, 4 Desemba 1133) alikuwa mmonaki na mkuu wa urekebisho wa Wabenedikto wakaapweke wa Vallombrosa.
Alifanywa kardinali na askofu wa Parma kuanzia mwaka 1106 hadi kifo chake.
Tangu wakati huo aliheshimiwa kama mtakatifu. Mwaka 1139 Papa Inosenti II alipitisha sifa hiyo[1] [2].
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 4 Desemba[3].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Salvador Miranda. Uberti, O.S.B.Vall., Bernardo degli (ca. 1060-1133). The Cardinals of the Holy Roman Church. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-06-09. Iliwekwa mnamo 27 September 2017.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/80450
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo[hariri | hariri chanzo]
- Affò, Ireneo (1788). Vita di San Bernardo degli Uberti abate gen. di Vallombrosa cardinale di s. chiesa e vescovo di Parma (in Italian). Parma: Presso Filippo Carmignani.
- (1855) Chronicon Parmense, Monumenta historica ad provincias Parmensem et et Placentinam pertinenti, Volume 5a (in Latin). Parma: ex officina P. Fiaccadori, 491–515.
- Donizo, "Vita Mathildis Comitissae", in: (1856) in Georgius Henricus Pertz: Monumenta Germaniae historica inde ab anno Christi quingentesimo usque ad annum millesimum et quingentesimum Scriptorum Tomus XII (in Latin). Hannover: Impensis Bibliopolii Aulici Hahniani, 348–409, esp. p. 398.