Mel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Mel baada ya kupewa uaskofu.

Mel (alifariki huko Ireland, 488) alikuwa mpwa wa Patrick[1] ambaye alikwenda naye kufanya umisionari.

Mjomba wake alimfanya askofu wa kwanza wa Ardagh[2] [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Februari[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.