Balbina wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu yake ni mojawapo kati ya 140 zilizopo juu ya nguzo zinazozunguka uwanja wa Mt. Petro, Vatikano.
Basilika la Mt. Balbina mjini Roma.

Balbina wa Roma (alifariki Roma mwaka 130[1]) ni mwanamke wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mengi kama mtakatifu mwenye sifa za bikira na mfiadini.[2].

Baba yake pia, askari Kwirino, alifia dini na anaheshimiwa kama mtakatifu.[3][4]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Saints.SQPN.com. Saints.sqpn.com. Iliwekwa mnamo 1 December 2014.
  2. (acta SS., Maii, I, 367 sqq.)
  3. (Dufourcq, loc. cit., 175)
  4. Den katolske kirke — Den hellige Balbina av Roma ( -~130). Katolsk.no. Iliwekwa mnamo 1 December 2014.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Balbina wa Roma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.