Solomoni Leclercq
Mandhari
Solomoni Leclercq (jina la ubatizo: Guillaume-Nicolas-Louis; Boulogne-sur-Mer, Ufaransa, 15 Novemba 1742 - Paris, Ufaransa, 2 Septemba 1792) alikuwa bradha wa Kanisa Katoliki na mlezi wa vijana katika shirika la Mabradha wa Shule za Kikristo.
Aliuawa wakati wa Mapinduzi ya Kifaransa kwa kukataa kiapo cha kutii serikali badala ya viongozi halali wa Kanisa[1].
Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 17 Oktoba 1926, halafu Papa Fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 16 Oktoba 2016, wa kwanza kati ya maelfu ya waliofia dini katika mapinduzi hayo.
Sikukuu inaadhimishwa tarehe ya kifodini chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Anonyme, Une victime de la Révolution ou vie de Nicolas Leclercq, dit frère Salomon, instituteur congréganiste, Poussielgue frères, Paris, 1887.
- Abbé Hyacinthe Chassagnon, Le Frère Salomon mort aux Carmes le 2 septembre 1792. Quelques pages d'histoire sur l'institut des Frères des écoles chrétiennes au siècle XVIII, Paris, Procure Générale des Frères, 1905.
- Hyacinthe Chassagnon, Le Bienheureux Salomon, de l'institut des Frères des écoles Chrétiennes, Procure Générale des Frères, Paris, 1926.
- Georges Rigault, Un disciple de saint Jean-Baptiste de La Salle, le Bienheureux Salomon, martyrisé à Paris (prison des carmes) le 2 septembre 1792, Procure Générale des Frères, Paris, 1926.
- Anonyme, Le Bienheureux Frère Salomon (de l'institut des Frères des écoles chrétiennes, mis à mort, en haine de la Foi, le 2 sept. 1792, à la prison des Carmes, à Paris), édition Sobeli, Bruxelles, 1926.
- Abbé G.Sepiéter, Quelques gloires de l'institut des Frères des écoles chrétiennes, Procure Générale des Frères - Paris, 1929
- Frère Jean Huscenot, La Sainteté par l'école. Sept religieux-éducateurs lasalliens, éditions Guéniot, Langres, 1989.
- Marcel Guilhem, Nicolas Le Clercq : Frère Salomon : martyr de la Révolution française (1745-1792), Médiaspaul, 1990.
- http://www.la-croix.com/Religion/France/Un-nouveau-saint-francais-Salomon-Leclercq-2016-05-10-1200759015 Nicolas Senèze, "Un nouveau saint français, Salomon Leclercq", 10 mai 2016, ed. La Croix, la-croix.com
- Christophe Carichon, Saint Salomon Le Clercq, Perpignan, Artège, 2016
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Alivyotangazwa mtakatifu.
- Complete works of St John Baptist de La Salle Archived 7 Agosti 2010 at the Wayback Machine. PDF format
- De La Salle Christian Brothers worldwide Tovuti rasmi ya shirika lake
- Wito wa mabradha, Marekani na Kanada
- Compendium of Lasallian Resources Archived 30 Oktoba 2016 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |