Nenda kwa yaliyomo

Jina la ubatizo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina la ubatizo ni lile ambalo mtu anapewa wakati kwa kubatizwa ili kumuingiza katika Kanisa la Yesu Kristo.

Kwa kawaida anayemtia maji anamuambia hapohapo: "Fulani, nakubatiza kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu".

Kabla ya Ukristo, ilikuwa tayari desturi ya Wayahudi kumpa mtu jina wakati wa kumtahiri ili kumuingiza katika taifa la Israeli.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jina la ubatizo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.