Prisko na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Prisko na wenzake (walifia dini Auxerre, leo nchini Ufaransa, 272 hivi) alikuwa Wakristo wa mji huo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Aureliani wa Dola la Roma[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 26 Mei[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.