Valeriani wa Tournus
Mandhari
Valeriani wa Tournus (alikatwa kichwa katika eneo hilo[1], leo nchini Ufaransa) ni mmojawapo kati ya Wakristo wanaoheshimiwa tangu kale kama watakatifu wafiadini[2].
Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 24 Novemba 1900[3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jean Marilier, BSS, vol. XII (1969), col. 914.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/70270
- ↑ Index ac status causarum (1999), pp. 452 e 599.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
- Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |