Nenda kwa yaliyomo

Mederiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Mederiki.

Mederiki (pia: Merri; Autun, karne ya 7Paris, 29 Agosti 700) tangu ujanani alikuwa mmonaki mwenye bidii; baada ya kupata upadrisho na cheo cha abati wa Autun, hatimaye aliishi hadi kifo chake kama mkaapweke katika chumba kidogo karibu na mji wa Paris [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka siku ya kifo chake[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.