Tisyano wa Brescia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tisyano wa Brescia (kwa Kiitalia: Tiziano; alifariki mwishoni mwa karne ya 7) alikuwa askofu wa 15 wa mji huo katika mkoa wa Lombardia, Italia Kaskazini[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.