Sabina wa Roma

Sabina wa Roma (alifariki Roma, 126 hivi) alikuwa mwanamke wa ukoo bora wa Roma ya Kale aliyeolewa bado kijana sana na seneta Valentinus. Kisha kujiunga na Kanisa, alikatwa kichwa kwa hilo.
Yangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini[1][2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Agosti[3]
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-10-17. Iliwekwa mnamo 2014-12-01.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91096
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |