Fasilides wa Ethiopia
Mandhari

Fasilides (takriban 1603 – 18 Oktoba 1667) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia mwaka 1632 hadi kifo chake. Jina lake la kutawala lilikuwa Alam Sagad.
Alikuwa ametangazwa kuwa mfalme mkuu mwaka wa 1630 wakati wa uasi wa Sersa Krestos lakini hakuweza kuchukua madaraka mpaka baba yake, Susenyos alipojiuzulu.
Wakati wa utawala wake Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia lilipata nguvu tena. Fasilides aliwakataa wamisionari Wakatoliki.
Pia alikuwa na mabalozi mpaka Uhindi.
Aliyemfuata ni Yohannes I.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Septemba.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fasilides wa Ethiopia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |