Nenda kwa yaliyomo

Kono wa Diano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Kono, kazi ya Domenico Di Venuta (1714).

Kono wa Diano, O.S.B. (Teggiano, Italia Kusini, karne ya 12 - Montesano sulla Marcellana, karne ya 13) alikuwa Mkristo ambaye tangu utotoni alifanya toba, akatoroka nyumbani ili kuwa mmonaki wa Kibenedikto, hadi alipofariki bado kijana[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius IX tarehe 27 Aprili 1871.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Juni[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90276
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.