Nenda kwa yaliyomo

Froilano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika kanisa kuu la Lugo.

Froilano (Lugo, 832 - Leon, 905 hivi) alikuwa askofu wa Leon, nchini Hispania, kuanzia mwaka 900.

Kabla ya hapo alikuwa mkaapweke, halafu mmisionari katika maeneo ambayo Wakristo waliyakomboa kutoka mikononi mwa Waislamu na mwanzilishi wa monasteri za kiume na za kike katika ari yake kwa ajili ya umonaki. Pia aling'aa kwa ukarimu kwa fukara [1].

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Oktoba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.