Nenda kwa yaliyomo

Edisti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edisti (pia: Aristo au Oreste; alifariki karibu na Roma, Italia) alikuwa Mkristo aliyeuawa kutokana na imani yake katika Yesu, inasemekana wakati wa dhuluma ya kaisari Nero[1][2].

Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimshwa tarehe 12 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Ekkart Sauser, Edistus (Aristus, Orestes, Horestes), p 304-305
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93405
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.