Vigbati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wat. Wigbert na Boniface, dirisha la kioo cha rangi, kazi ya Alois Plum.

Vigbati (pia: Wigbert, Wihtberht; Wessex, 7 Mei 675 - Fritzlar, katika Ujerumani wa leo, 13 Agosti 747) alikuwa padri na mmonaki Wabenedikto kutoka Uingereza[1] aliyekwenda barani kama mmisionari pamoja na Bonifas ambaye alimfanya abati wa kwanza huko alipokuja kufariki[2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama watakatifu.

Sikukuu yao ni tarehe 13 Agosti ya kila mwaka[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.