Nenda kwa yaliyomo

Marselina wa Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Marselina wa Milano (Trier, leo nchini Ujerumani, 327 hivi - Milano, Italia, 398), alikuwa dada wa askofu Ambrosi aliyeamua kushika ubikira wake kwa ajili ya Mungu akawekwa wakfu na Papa Liberius huko Roma, katika Basilika la Mt. Petro [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 17 Julai[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Jacques Paul Migne, Patrologia Latina (218 voll.), 1844-1855.
  • Guerrino Pelliccia e Giancarlo Rocca (curr.), Dizionario degli Istituti di Perfezione (10 voll.), Edizioni paoline, Milano 1974-2003.
  • Pierre Pierrard, Dizionario Larousse dei nomi e dei santi, Gremese editore, Roma 2003. ISBN 88-8440-261-1.
  • Santa Marcellina, in San Carlo Borromeo, I Santi di Milano, Milano 2012, ISBN 9788897618034
  • F.E. Consolino, Tradizionalismo e trasgressione nell'élite senatoria romana: ritratti di signore tra la fine del IV e l'inizio del V secolo, in Le trasformazioni delle élites in età tardoantica, a cura di Rita Lizzi Testa, Roma 2006.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.