Nenda kwa yaliyomo

Agapio wa Kaisarea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu cha Mt. Agapio.

Agapio wa Kaisarea (kwa Kigiriki: Ἀγάπιος; alifariki Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli, 306) alikuwa Mkristo ambaye baada ya kufungwa na kuteswa miaka miwili, alitupwa katika uwanja wa michezo aliwe na dubu mbele ya kaisari Masimino kwa ajili ya imani yake na kesho yake alitupwa baharini akiwa amefungiwa mawe miguuni kwa sababu alikuwa hajafa[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 21 Novemba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.