Anoni wa Koln

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo ukimuonyesha akimtawaza abati.

Anoni wa Koln (Ehingen, Ujerumani, 1010 hivi - Koln, 4 Desemba 1075) alikuwa askofu mkuu wa Koln kuanzia mwaka 1056 pamoja na kushughulikia masuala ya siasa[1].

Alitangazwa mtakatifu na Papa Lucius III tarehe 29 Aprili 1183.

Sikukuu yake inaadhimishwa kwenye 4 Desemba.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Vita Annonis archiepiscopi Coloniensis, R. Koepke ed., MGH Scriptores 11 (Hannover 1854) 462–518.
  • Anno von Köln, Epistola ad monachos Malmundarienses, Neues Archiv der Gesellschaft für altere deutsche Geschichtskunde XIV (Hanover, 1876).
  • Dunphy, Graeme (ed.) 2003. Opitz's Anno: The Middle High German Annolied in the 1639 Edition of Martin Opitz. Scottish Papers in Germanic Studies, Glasgow. [Diplomatic edition with English translation].
  • Lindner, T., Anno II der Heilige, Erzbischof von Köln (1056-1075) (Leipzig 1869).
  • Jenal, G., Erzbischof Anno II. von Köln (1056-75) und sein politisches Wirken. Ein Beitrag zur Geschichte der Reichs- und Territorialpolitik im 11. Jahrhundert. Monographien zur Geschichte des Mittelalters 8, 2 vol. (Stuttgart 1974–1975).
  • Schieffer, R., Die Romreise deutscher Bischöfe im Frühjahr 1070. Anno von Köln, Siegfried von Mainz und Hermann von Bamberg bei Alexander II., Rheinische Vierteljahrsblätter 35 (1971) 152–174.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.