Nenda kwa yaliyomo

Maglori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Maglori alivyochorwa na Eugène Goyet (1798–1846), Église Saint-Jacques-du-Haut-Pas, Paris, Ufaransa.

Maglori[1] (Vannes, leo nchini Ufaransa, 535 - 575 hivi) alikuwa mmonaki wa Bretagne aliyelelewa na Iltudi huko Welisi [2]. Kisha kurudi Bretagne akawa huko askofu wa Dol[3], lakini, akitamani upweke, aliacha jimbo akaanzisha monasteri karika kisiwa cha Sark [4][5].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Oktoba[6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Maglorius, Maelor; also called Maglorius, Melorius, in Norman as Mannélyi, Peter Doyle (1996), Butler's Lives of the Saints, pp. 170–1and Maelor.
  2. "Saint Magloire". www.catholic-saints.info. Iliwekwa mnamo 2020-07-15.
  3. "Magloire". Google Arts & Culture (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-23. Iliwekwa mnamo 2020-07-23. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Joseph-Claude Poulin, L'hagiographie bretonne du Haut Moyen Age, (Thorbecke, 2009), pp. 199–234
  5. https://www.santiebeati.it/dettaglio/92873
  6. Martyrologium Romanum
  • Peter Doyle (1996), Butler's Lives of the Saints, pp. 170–1
  • Joseph-Claude Poulin (2009), L'hagiographies bretonne du haut Moyen Age, pp. 199–234
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.