Iltudi
Mandhari

Iltudi (pia: Illtyd, Eltut, Hildutus, Illtud Farchog; Ewyas Harold, Welisi, 480 hivi - Llantwit Major, Welisi, 540 hivi) alikuwa mmonaki abati anayetajwa kama mwanzilishi wa monasteri na chuo cha teolojia huko Bangor ambacho kinahesabiwa cha kwanza huko Britania[1] na, kutokana na sifa zake kubwa za utakatifu na elimu [2], kilifikia kuwa na wanafunzi zaidi ya elfu moja, ambao baadhi yao ni watakatifu kama Dewi na Samsoni wa Dol[3][4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Galilee Chapel Project. "Home". Galilee Chapel Project: St. Iltud's Church, Llantwit Major. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Desemba 2015. Iliwekwa mnamo 18 Februari 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/92324
- ↑ Rudge, F.M. (1910). St. Illtyd. In The Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. Accessed 1 September 2012
- ↑ "St. Illtud". Lent with the Celtic Saints. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "The Life of St. Illtud". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Novemba 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - "The Life of St. Illtud" (kwa Kilatini). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Septemba 2011.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |