Samsoni wa Dol
Mandhari

Samsoni wa Dol (Wales Kusini, 485 hivi - Dol-de-Bretagne, Neustria, leo nchini Ufaransa, 565 hivi) alikuwa mmonaki nchini kwake, halafu askofu mmisionari wa Dol huko Bretagne alipoeneza Injili pamoja na nidhamu ya kimonaki aliyojifunza kwa abati Iltud huko kwao [1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Flobert, Pierre (tr. & ed.) (1997) La Vie ancienne de saint Samson de Dol. Paris: CNRS ISBN 2-271-05386-2
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/43425
- ↑ Martyrologium Romanum, 2004, Vatican Press (Typis Vaticanis), page 171.
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 258-259
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 217-218
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- Doble, G. H. (1970) The Saints of Cornwall: part 5. Truro: Dean and Chapter; pp. 80–103
- Journey to Avalon: The Final Discovery of King Arthur By Chris Barber, David Pykitt pp 119 St Samson
- Jones, Alison (1994) The Wordsworth Dictionary of Saints, p. 202
- Thomas Taylor The life of St Samson of Dol (Kessinger Publishing, LLC (July 25, 2007)): CNRS ISBN 0-548-09467-5
- Marilyn Dunn The emergence of monasticism: from the Desert Fathers to the early Middle Ages, (Blackwell Publishers Ltd, 2003): CNRS ISBN 1-4051-0641-7)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "St. Sampson, Bishop and Confessor", Butler's Lives of the Saints
- A version of Taylor's English translation of the Vita Sancti Samsonis, with emendations based on a recent edition
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |