Heribert wa Cologne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu ya Mt. Heribert wa Cologne (kushoto), mnara wa ukumbi wa mji wa Cologne.

Heribert wa Cologne (kwa Kijerumani: Heribert von Köln; Worms, 970 hivi; Cologne, 16 Machi 1021) alikuwa Askofu mkuu wa Cologne, Ujerumani, na Chansella wa Dola Takatifu la Roma chini ya kaisari Otto III.

Aliheshimiwa sana akiwa hai akatangazwa na Papa Gregori VII kuwa mtakatifu mwaka 1075 hivi.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, 16 Machi[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.