Nenda kwa yaliyomo

Domesi Mganga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Domesi Mganga (pia: Mar Dimet; alifariki karne ya 5) alikuwa mmonaki wa Kapadokia aliyeishi katika pango la mlima Quros katika Armenia ya Kale (leo nchini Uturuki).[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Julai[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.