Theodori na Pausilipi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theodori na Pausilipi (walifariki Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, au sehemu nyingine ya Trakia, 130 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa katika dhuluma ya kaisari Adrian kwa sababu ya imani yao[1][2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Aprili[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.