Adrian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adrian
2022-07-21 Fußball, Männer,Freundschaftsspiel, RB Leipzig - FC Liverpool 1DX 2019 by Stepro.jpg
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaHispania Hariri
Jina katika lugha mamaAdrián Hariri
Jina la kuzaliwaAdrián San Miguel del Castillo Hariri
Jina halisiAdrián Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa3 Januari 1987 Hariri
Mahali alipozaliwaSevilla Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKihispania Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
Muda wa kazi2008 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji13 Hariri
LigiLigi Kuu Uingereza Hariri

Adrian San Miguel del Castillo (anajulikana sana kama Adrián; alizaliwa 3 Januari 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Hispania ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Liverpool.

Adrián alianza kazi yake na timu ya vijana wa wadogo wa klabu ya Hispania Real Betis,alisaini mkataba wake wa kwanza mnamo 2012. Mnamo 2013,alijiunga na klabu ya West Ham United ya Uingereza kwa mkataba wa miaka sita, Mnamo july 2019 alisaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Liverpool mpaka 2023.

Mnamo 14 Agosti, Adrián alianza kucheza katika mechi ya Kombe la UEFA Supercup la 2019; katika muda wa ziada, alifungwa kwa penati na Jorginho na kuweka matokeo kuwa saresare ya 2-2na mechi kuisha hivyohivyo, ambapo Adrián aliokoa mkwaju wa mwisho wa penati uliopigwa na Tammy Abraham, ilipelekea Liverpool kuibuka na ushindi wa 5-4.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adrian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.