Nenda kwa yaliyomo

Real Betis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Real Betis Balompié, SAD(Sociedad Anónima Deportiva), ambayo inajulikana zaidi kama Real Betis, ni klabu ya soka ya Hispania iliyoko Seville. Klabu hii ilianzishwa tarehe 12 Septemba 1907, inacheza katika La Liga.

Jina "Betis" linatokana na Baetis, jina la Kirumi kwa ajili ya mto wa Guadalquivir ambao unapita huko Seville. Jina "Real" liliongezwa mwaka 1914 baada ya klabu kupokea utawala kutoka kwa Mfalme Alfonso XIII.

Estadio Benito Villamarín(Uwanja wa nyumbani wa Real Betis)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Real Betis kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.