Adrian (mwanasoka)
Adrián | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Adrian San Miguel del Castillo | |
Tarehe ya kuzaliwa | 3 Januari 1987 | |
Mahala pa kuzaliwa | ||
Nafasi anayochezea | golikipa | |
Timu ya taifa | ||
Hispania | ||
* Magoli alioshinda |
Adrian San Miguel del Castillo (anajulikana sana kama Adrián; alizaliwa 3 Januari 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Hispania ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Liverpool.
Adrián alianza kazi yake na timu ya vijana wa wadogo wa klabu ya Hispania Real Betis,alisaini mkataba wake wa kwanza mnamo 2012. Mnamo 2013,alijiunga na klabu ya West Ham United ya Uingereza kwa mkataba wa miaka sita, Mnamo july 2019 alisaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Liverpool mpaka 2023.
Mnamo 14 Agosti, Adrián alianza kucheza katika mechi ya Kombe la UEFA Supercup la 2019; katika muda wa ziada, alifungwa kwa penati na Jorginho na kuweka matokeo kuwa saresare ya 2-2na mechi kuisha hivyohivyo, ambapo Adrián aliokoa mkwaju wa mwisho wa penati uliopigwa na Tammy Abraham, ilipelekea Liverpool kuibuka na ushindi wa 5-4.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adrian (mwanasoka) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |