Golikipa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Golikipa (kutoka Kiingereza "goalkeeper"; pia kipa tu) ni mtu ambaye hulinda lango la timu katika michezo kama soka na hockey.

Kazi ya kipa ni kuzuia timu pinzani kufunga bao kwa kuingiza mpira golini.

Mchezaji huyu huvaa kinga/Gloves kwa ajili ya kujikinga na mipira inayomjia kwa kasi.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Golikipa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.