Netiboli
Jump to navigation
Jump to search
Netiboli (kutoka Kiingereza "netball"; pia "mpira wa pete") ni mchezo unaotumia mpira ambao huchezwa sana na wanawake.
Waanzilishi wa mchezo huo walikuwa Waingereza mnamo mwaka 1890.
Kawaida ya mchezo huo ni kwamba huchezwa na timu mbili na kila timu inakuwa na wachezaji saba.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Netiboli kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |