Skolastika wa Nursia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Skolastica, alivyochorwa na Andrea Mantegna.

Skolastica (Nursia, Umbria, Italia, 480 hivi – karibu na Monte Cassino, Lazio, 10 Februari 547) alikuwa dada pacha wa Benedikto wa Nursia.

Kama kaka yake anajulikana tu kutoka kitabu cha Dialogues cha Gregori Mkuu, tunaposikia alivyofuatana naye katika umonaki akawa abesi wa monasteri ya kike huko Plombariola, kilometa 8 toka Monte Cassino.

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Februari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Skolastika wa Nursia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.