Amandi wa Bordeaux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Amandi wa Bordeaux (alizaliwa Besancon, Ufaransa, akafariki huko 431 au 432) alikuwa askofu wa 13 wa mji huo kuanzia mwaka 403 hadi 410 hivi, tena kuanzia 420 hivi kifo chake[1][2].

Alijitahidi kuinjilisha jimbo lake akabatiza Paulino wa Nola ambaye aliandika mara nyingi juu yake kwa sifa.

Alipinga uzushi wa mmonaki Prisiliani na wa Gnosi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Juni[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amandi wa Bordeaux kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.