Siriako na Arkelao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siriako na Arkelao (walifariki Ostia, karibu na Roma, Italia, karne ya 3 hivi) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa katika makao makuu ya Dola la Roma wakati wa dhuluma ya serikali[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.