Eusebi wa Samosata
Eusebi wa Samosata (alifariki Dolikha, leo Dülük, Uturuki, 379 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 361 hadi kifodini chake.
Alidhulumiwa na Dola la Roma kwa kupinga Uario[1][2]. Hatimaye aliuawa na mwanamke wa madhehebu hayo aliyemrushia kigae kichwani[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Juni[4].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |