Betari wa Chartres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Betari wa Chartres (karne ya 6 - 623 hivi) alikuwa mkaapweke na hatimaye askofu wa mji huo, Galia, leo Ufaransa)[1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, halafu na Waanglikana kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Agosti[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.