Vitali na Agrikola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Watakatifu Vitali na Agrikola.

Vitali na Agrikola (walifariki Bologna, Italia Kaskazini, 304 hivi) walikuwa Wakristo waliofia dini yao wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano [1].

Vitali alikuwa mtumwa wa Agrikola na alitangulia kuteswa vikali sana. Hata hivyo Agrikola alikubali kumfuata kwa kusulubiwa.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 4 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.