Kwirino wa Roma (25 Machi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifodini cha Mt. Kwirino, mchoro wa Martin Johann Schmidt, 1782.

Kwirino wa Roma (alifariki Roma, 270 hivi) ni askari Mkristo wa Roma ya Kale aliyefia dini yake.

Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu ya Kwirino huadhimishwa tarehe 25 Machi[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.