Dioskoridi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dioskoridi wa Smirna (alifariki Myra, Licia, leo nchini Uturuki, 250 hivi) alikuwa Mkristo aliyefia dini yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Mei[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.