Senatori wa Albano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Senatori wa Albano (alifariki Albano, karibu na Roma, Italia) alikuwa Mkristo aliyeuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 26 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.