Nenda kwa yaliyomo

Wiliamu wa Eskill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Wiliamu alivyochorwa.

Wiliamu wa Eskill, C.R.S.A. (au wa Paris au wa Æbelholt; Paris, 1125 - kisiwa cha Eskill, Udani, 6 Aprili 1203) alikuwa padri wa Ufaransa ambaye alijunga na urekebisho wa Wakanoni akatumwa kuueneza huko Denmark, jambo alilofanikisha ingawa kati ya matatizo mengi[1][2].

Papa Honori III alimtangaza mtakatifu mwaka 1224.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. William of Æbelholt was the subject of a saint's Vita et miracula, composed most likely as part of his canonization process. It was printed in M.C. Gertz, ed., Vitae Sanctorum Danorum (Copenhagen, 1908–12), pp. 285–369. Gertz also included in that edition a brief treatise supposedly written by William on the authenticity of the relics of Saint Geneviève (pp. 378–82). William's genealogy of the Danish kings can be found in M.C. Gertz, ed., Scriptores Miniores Historiae Danicae Medii Aevi, vol. 1 (Copenhagen, 1970; reprint of Copenhagen, 1917–18), pp. 176–85. William also left a substantial collection of letters, published most recently in the Diplomatarium Danicum, vol. 3,pt. 2, ed. C.A. Christensen, Herluf Nielsen, and Lauritz Weibull (Copenhagen, 1977). Further evidence can be found in charters dealing with Æbelholt (mostly transmitted through the archives of Æbelholt Abbey and its closest neighbor, Esrum). These have been published in the Diplomatarium Danicum.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/48660
  3. Martyrologium Romanum
  • Ivan Boserup, "A French-Danish Letter Collection and Some Danish Diplomataria: Historical and Literary Remarks on the Epistulae of Abbot William of Æbelholt," in Living Words and Luminous Pictures: Medieval Book Culture in Denmark: Essays, ed. Erik Petersen (Copenhagen, 1999), pp. 78–95.
  • Nanna Damsholt, "Abbot William of Æbelholt: A Foreigner in Denmark," in Medieval Spirituality in Scandinavia and Europe, ed. Lars Bisgaard et al. (Odense, 2001), pp. 3–19.
  • Anthony Perron, "Fugitives from the Cloister: Law and Order in William of Æbelholt's Denmark," in Law and Learning in the Middle Ages, ed. Helle Vogt and Mia Münster-Swendsen (Copenhagen, 2006), pp. 123–36.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.