Donata, Paulina na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Donata, Paulina na wenzao Rogata, Dominanda, Serotina, Saturnina na Hilaria (walifariki Roma, Italia, labda karne ya 1) walikuwa wanawake wa Roma ya Kale waliouawa kwa ajili ya imani yao ya Kikristo[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 31 Desemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.