Daudi wa Uswidi
Mandhari

Daudi wa Uswidi, O.S.B. (pia: David av Munktorp; Uingereza, karne ya 10 – Vasteras, Uswidi, 1082) alikuwa mmonaki Mbenedikto wa urekebisho wa Cluny[1] aliyetumwa kama askofu mmisionari nchini Uswidi mwaka 1020 akaendelea[2] hadi alipofariki katika monasteri aliyoianzisha bila kupata kifodini alichotarajia[3] [4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sweden (The Catholic Encyclopedia. Vol. 14. New York: Robert Appleton Company, 1912)
- ↑ Eskil (The Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company), retrieved 2008-05-15
- ↑ http://sok.riksarkivet.se/sbl/Presentation.aspx?id=17204 Ilihifadhiwa 18 Februari 2024 kwenye Wayback Machine. David (Riksarkivet)
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/62800
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |