Petro wa Trevi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Petro alivyochorwa mwaka 1603.
Sanamu ya Mt. Petro huko Trevi nel Lazio.

Petro wa Trevi (Rocca di Botte, Abruzzo, karne ya 11 - Trevi nel Lazio, Italia, 30 Agosti 1052) alikuwa kijana Mkristo aliyeishi kitawa bila makao maalumu baada ya kukataa kuoa[1][2][3].

Alitangazwa mtakatifu na Papa Inosenti III tarehe 1 Oktoba 1215[4][5].

Sikukuu yake ni tarehe 30 Agosti[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.