Jenesi wa Arles
Mandhari
Jenesi wa Arles (kwa Kifaransa Genès) alikuwa mkatekumeni karani wa mahakama aliyefia imani yake mpya wakati wa kaisari Maximian mwaka 303 au 308 kwa kuwa alikimbia ili asichangie dhuluma dhidi ya Wakristo lakini alikamatwa na kubatizwa katika damu yake [1][2][3][4][5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Agosti[6].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Acts (Acta Santorum, Aug., V, 123, and Thierry Ruinart, 559), attributed to St. Paulinus of Nola, state: "Genesius, native of Arles, at first a soldier became known for his proficiency in writing, and was made secretary to the magistrate of Arles. While performing the duties of his office the decree of persecution against the Christians was read in his presence. Outraged in his ideas of justice, the young catechumen cast his tablets at the feet of the magistrate and fled. He was captured and executed, and thus received baptism in his own blood."
- ↑ S. Cavallin, "Saint Genės le notaire", Eranos (Uppsala) 43 (1945:150-75).
- ↑ James Harper, "John Cassian and Sulpicius Severus", Church History 34.4 (December 1965:371-380): point made p 373f.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/67450
- ↑ David Hugh Farmer, Oxford Dictionary of Saints. Fifth Edition (Revised). (Oxford: Oxford University Press, 2011), 180.
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |