Wafiadini wa Plovdiv

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Plovdiv (walifariki Plovdiv, Bulgaria ya leo, 304 hivi) walikuwa Wakristo 38 waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya makaisari Diokletian na Maximian[1].

Majina ya wenyeji ni: Gaio, Timotheo, Palmato, Mesto, Nikoni, Difilo, Domesi, Masimo, Neofito, Vikta, Rino, Saturnino, Epafrodito, Kercas, Zotiko, Kronione, Anto, Oro, Zoilo, Tirano, Agatho, Pastene, Akille, Panterio, Krisanto, Atenodoro, Pantoleone, Teosebe na Genetlio.

Wengine kutoka Bizanti walikuwa: Orione, Anatilino, Molia, Eudoimone, Silvano, Sabino, Eustasi, Stratone na Bosba.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 24 Mei[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.