Simoni Qin Chunfu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Simoni Qin Chunfu (Nanpeiluo, 1886 hivi - Liucun, 19 Julai 1900) alikuwa mvulana wa China mwenye umri wa miaka 14 aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia akishinda pamoja na mama yake Elizabeti Qin Bianzhi ukatili wote wa madhalimu [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.