Nenda kwa yaliyomo

Saloni wa Geneva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saloni wa Geneva alikuwa askofu wa mji huo (leo nchini Uswisi) kuanzia mwaka 440.

Mtoto wa watakatifu Eukeri wa Lyon na Galla, alilelewa kimonaki huko Lerins.

Alitetea imani sahihi kadiri ya Papa Leo I na kuwa mwandishi mzuri wa Kilatini, vinavyoonyesha vitabu vyake juu ya ufafanuzi wa kiroho wa Mithali na Mhubiri[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Septemba[2].

Maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. 1924.
  • Paul Lullin - Charles Le Fort, Régeste genevois - Répertoire chronologique et analytique des documents imprimés relatifs à l'histoire de la ville et du diocèse de Genève avant l'année 1312
  • Marius Besson, « Un évêque exégète de Genève au milieu du Kigezo:S- : saint Salone », Anzeiger für schweizerische Geschichte, t. 9, 1902-05, p. 252-65.
  • Jean-Pierre Weiss, L'authenticité de l'œuvre de Salonius de Genève, Berlin, Akademie Verlag, 1970.
  • Jean-Pierre Weiss, article « Salonius de Genève », Dictionnaire de spiritualité, Beauchesne, t. 14, col. 247.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.